Mwaitamanije Nchi Ya Watu? Nchi Yetu Iko Mbinguni Video
Mwaitamanije Nchi Ya Watu? Nchi Yetu Iko Mbinguni Audio MP3
Mwaitamanije Nchi Ya Watu? Nchi Yetu Iko Mbinguni Lyrics
Verse 1
Tuko ugenini, tunasafiri,
Kuiendea nchi yetu,
Lakini wengine, wanatamani,
Nchi hii ya ugenini.
Pambio
(Mwaitamani je, nchi ya watu,
Nchi yetu iko mbinguni,
Tumeahidiwa, mji wa raha,
Jina lake Yerusalemu.) ×2
Verse 2
Mambo ya dunia, tuyaonayo,
Yote yatakuja pita,
Angalia ndungu, usisahau,
Nchi hiyo ya usalama.
Pambio
(Mwaitamani je, nchi ya watu,
Nchi yetu iko mbinguni,
Tumeahidiwa, mji wa raha,
Jina lake Yerusalemu.) ×2
Verse 3
Yesu alipaa, kwenda mbinguni,
Kutuandalia makao,
Atarudi tena, kutuchukuwa,
Kuishi naye milele.
Pambio
(Mwaitamani je, nchi ya watu,
Nchi yetu iko mbinguni,
Tumeahidiwa, mji wa raha,
Jina lake Yerusalemu.) ×2
Notes
The hymn Mwaitamanije Nchi Ya Watu? Nchi Yetu Iko Mbinguni is a powerful reminder of the Christian’s true home—heaven. It calls believers to fix their focus on the eternal kingdom rather than becoming attached to the temporary pleasures of this world.
The first verse acknowledges that Christians are merely travelers on earth, journeying toward their heavenly homeland. However, it warns that some may be tempted to desire the things of this world rather than seeking the promised kingdom of God.
The chorus asks an important question: Do you long for the land of strangers? It reminds believers that their true inheritance is in heaven, specifically in the New Jerusalem, the city of everlasting joy.
The second verse emphasizes the fleeting nature of worldly possessions and urges Christians to remain focused on the eternal reward.
The third verse affirms the promise of Christ’s return. Just as Jesus ascended, He will come again to take His followers to live with Him forever.
This hymn encourages Christians to remain steadfast in faith, looking beyond earthly distractions and holding onto the hope of heaven, where ultimate peace and joy await.
Singers And Instrumentalists
Kosome Akako – Rhythm Guitar
Moses Were – Bass Guitar
Mitchelle Ouma – Percussions
Grace Otieno – Vocals
Esther Kaari – Vocals
Miriam Rose Atieno – Vocals
Shamim Wanjala – Vocals
Joshua Kimura – Video