Skip to content
Home » Rudia Rudia Kama Vile Kwa Mtoto | Lyrics | Video | MP3 | Mitchelle Ouma

Rudia Rudia Kama Vile Kwa Mtoto | Lyrics | Video | MP3 | Mitchelle Ouma

Rudia Rudia Kama Vile Kwa Mtoto Video

Rudia Rudia Kama Vile Kwa Mtoto Audio MP3

Rudia Rudia Kama Vile Kwa Mtoto Lyrics

Bwana Nieleze
Verse 1
Bwana nieleze kile kilicho
kufanya ukaja hapa wakati ule
Yote ya mbinguni hukuyaona kitu,
ukaja ishi na viumbe vyako,

Chorus
Hebu nieleze kwa sauti ya upole,
akili zangu bwana Ni fupi,
rudia rudia kama vile kwa mtoto,
nisisahau hata kidogo

Verse 2
Walipo kusulubisha msalabani
hakuna aliye kusaidia
Ukafa kifo cha uchungu na Aibu
Kwa dhambi iliyokua yangu

Verse 3
Zidi kunionyesha ubaya wa dhambi
Najua ndio iliyokuua
Na nigeukapo bwana kutenda dhambi
Bwana nirudi kwa fimbo yako

Notes

This hymn is a heartfelt prayer for deeper understanding and remembrance of Christ’s sacrifice. It portrays a believer asking the Lord to gently and patiently explain His love, repeating the truth like one would to a child so it is never forgotten.

The first verse reflects on Christ’s choice to leave heaven and live among His creation. The second highlights His suffering on the cross for humanity’s sins. The third is a plea for God to continually reveal the seriousness of sin and lovingly correct the believer when they stray. For a Christian, it is a song of humility, repentance, and gratitude.

Another Great Swahili Hymn